Wapo - Harmonize

Wapo - Harmonize

Год
2021
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
247660

以下は曲の歌詞です Wapo 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " Wapo "

原文と翻訳

Wapo

Harmonize

Mmmh mmh

Hivi kwanini nijitutumue

Na dunia sio makazi

Vijineno neno vinisumbue

Hadi nishindwe kazi

Mama alisema mkuku kwa nguruwe

Kuishi na watu kazi

Achambe atukane ata aniue

Nishasamehe mzani ni mzazi

Mwenzenu naficha naficha

Mengi ninayo yaona

Kifupi nafunika kombe

Nikiamini kesho nayo siku

Mapicha picha mapicha

Sidhani kama nitapona

Wanangu wa mtaani mniombee

Hii vita ni mchana na usiku

Oooh kuna watu na viatu

Wanatamani milele wawe wao

Ukijituma watasema

Unashinda nao

Oooh ni kama watu kumbe

Ndani wana roho za chatu

Hawatosheki na vikubwa vyao

Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao

Mola nipe ujasiri

Kwenye kufanya maamuzi

Zidi nikomaza akili

Isinipoteze miluzi

Uniamshe alfajiri

Kama jana na juzi

Kupata kukosa ni siri

Nawe ndo Mungu baba mwamuzi

Dear Lord, wapo

Iyeiye iye, wapo

Japo ni ngumu kuwaona, wapo

Wapo wasotaka ufanikiwe

Binadamu hawana jema,

Kila utachofanya watasema, wapo

Wasotaka ubarikiwe

Watakuita mwanga kibonge

Tena kwa dharau wakucheke

Wanachotaka we uongee

Waseme shukrani ya punda mateke

Kama vipi dem wake tumgongee

Ndiye anayempiga chura teke

Usipoonewa ndonge

Basi ndo ujue hauna makeke

Sikia Konde kwepa bana mjini shule

Ukipata kidogo leta na nao tule

Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure

Maana siku zote nyani halioni kundule

Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote

Sio wa kike anacheka wa kiume analialia

Bila msaada wowote

Oooh kuna watu na viatu

Wanatamani milele wawe wao

Ukijituma watasema

Unashinda nao

Machoni nikama watu

Kumbe

Ndani wana roho za chatu

Hawatosheki na vikubwa vyao

Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao

Mola nipe ujasiri

Kwenye kufanya maamuzi

Zidi nikomaza akili

Isinipoteze miluzi

Uniamshe alfajiri kama

Jana na juzi

Kupata kukosa ni siri

Nawe ndo Mungu baba mwamuzi

Dear Lord, wapo

Iyeiye iye, wapo

Japo ni ngumu kuwaona, wapo

Wapo wasotaka ufanikiwe

Binadamu hawana jeru, wapo

Kila utachofanya watasema, wapo

Wapo wasotaka ubarikiwe

Dear Lord

«Special message to the Youth»

It’s your time now to follow your dreams

No matter what people say stay humble

Stay positive, follow your dream

Believe in God, ease your mind

Ease your mind for Lord

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます