Magufuli - Harmonize

Magufuli - Harmonize

Год
2019
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
222400

以下は曲の歌詞です Magufuli 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " Magufuli "

原文と翻訳

Magufuli

Harmonize

Mmmmh

I wish ningemwona Magufuli

Nipige magoti

Nimpongeze hadharani

Yaani Rais wa muungano wa Jamhuri

Mchapakazi hachoki

Anaye pinga nani?

Mmmh,

Ametuvusha vikwazo

Wewe nami ona nchi anavyoijenga

Flyover sa tunazo, daraja kigamboni

Airport imesha jengwa

Acha nikupongeze Kwa Air Tanzania (Ielewe)

Zidi baba tuongeze Airbus Bombardier (Ielewe)

Standard gauge tuteleze Kusafiri unasinzia (Ielewe)

Acheni tu niwaeleze Magufuli papa nia (Ielewe)

Oooh dady

Magufuli Cheza nikuone (Kwangwaru)

Wasopenda wabane choo (Kwangwaru)

Magu muacheni (Kwangwaru)

Oooh daddy

Asa Cheza nikuone (Kwangwaru)

Jembe toka chato (Kwangwaru)

Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru)

Aga, mpole mtu wa dini

Hajachoka tunashukuru

Amesamehe mara sabini

Papi Kocha sa yuko huru

Wa-Tanzania tupewe nini?

Vilokufa yeye kavifufua

Karudisha nidhamu serekalini

Ukileta njanja anatumbua EEh!

Sekta ya madini

Umeme maji kero zimepungua (Asa wee)

Elimu bure vijijini Watoto shule wanabukua (Asa wee)

Ifikapo elfu mbili na ishirini Kura yangu chukua (Asa wee)

Asa tufiche ya nini 'Magu' uongozi anaujua (Asa wee)

Dar es Salaam mwendo kasi Vituo vya afya kila kata (Ielewe)

Machinga tunachapa kazi Tena huru bila shaka (Ielewe)

Borigi utani ameongeza Uchumi uweze panda (Ielewe)

Serekali Dodoma inapendeza Tanzania ya viwanda (Ielewe)

Oooh daddy

Magufuli Cheza nikuone (Kwangwaru)

Wasopenda wabane choo (Kwangwaru)

Magu muacheni (Kwangwaru)

Oooh daddy

Asa cheza nikuone (Kwangwaru)

Jembe toka chato (Kwangwaru)

Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru)

Asa wote wa-Tanzania

Tusimame imara (Imara imara)

Yaani wote Tanzania

Imara Tanzania tusonge mbele

John Pombe Magufuli

Simama imara (Imara imara)

Yaani wote tusonge mbele

Imara Tanzania tusonge mbele

Oooh mama Samia Suluhu

Basi simama imara (Imara imara)

Kwa pamoja tusonge mbele

Imara Tanzania tusonge mbele

Baba Kassim Majaliwa

Simama imara (Imara imara)

Kwa pamoja tusonge mbele

Imara Tanzania tusonge mbele

Wasafi Records

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます