Mwaka Wangu - Harmonize

Mwaka Wangu - Harmonize

Год
2022
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
193870

以下は曲の歌詞です Mwaka Wangu 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " Mwaka Wangu "

原文と翻訳

Mwaka Wangu

Harmonize

Yaw-yaw

Jeshii

La-la-li-la-la, mmh, la-la-la

Chiiii

Eeh

Ni mwaka mpya mambo mapya sina dhambi nimetubu

Na pesa ntazichanga change nizijaze kwa kibubuu

Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu

Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu

Eti kwani wao waweze wana nini (Mmmh)

Na mimi nishindwe nina nini

Nishachoka siku zote kuwa wa chini

Wengine wanakula kipupwe ma ofisini

Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa

Mliosema hapewi hapewi mbona amepewa

Mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu

Nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu, dear Lord

Hakuna mungu kama wewe babaa (Eh, hakuna)

Kama wewe yawee (Eh, hakuna)

Hakuna mungu kama wewe babaa (Eh, hakuna)

Kama wewe yawee (Eh, hakuna)

Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu

Na wale waliosema mimi ni mguma waje wamuone mwanangu

Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni

Wanaokufata wakati wa shida ili wapate hafueni

Niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza

Nami nipande dau niwasalimu kingereza

When God say yes nobody can say no

(When God say yes nobody can say no)

When God say yes nobody can say no

(When God say yes nobody can say no)

Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa

Mliosema hapewi hapewi mbona amepewa

Mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu

Nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu, dear Lord

Hakuna mungu kama wewe babaa (Eh, hakuna)

Kama wewe yawee (Eh, hakuna)

Hakuna mungu kama wewe babaa (Eh, hakuna)

Kama wewe yawee (Eh, hakuna)

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます