Inanimaliza - Harmonize, Mr. Blue

Inanimaliza - Harmonize, Mr. Blue

Год
2020
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
229820

以下は曲の歌詞です Inanimaliza 、アーティスト - Harmonize, Mr. Blue 翻訳付き

歌詞 " Inanimaliza "

原文と翻訳

Inanimaliza

Harmonize, Mr. Blue

First time when I saw you nilitamani nikueleze

How I feel that was dream come true

Alau macho nikukonyeze maybe you can feel asuu

Moyo ungekuaga kitabu ningefunia uone yaliyomo ndani

Yani mwenzako napata tabu sina furaha ata tone

Nioneege imani oh my love (Ooohoo}

Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umeseme no ooh ooh

Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umesema no oooh

Nonono kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

Baylon easy yeah ah

Chibonge nimekua kibaombao

Ghafla chui nimekua kinyau nyau

Mpaka sijui nayosema nimesahau

Vita ya penzi imekua kama maumau

Nikiona sura nakonda nikiona chura nasindwa kubonga

Nakua mbulura masikini omba omba

Kutwa nazurura kutuliza kidonda

Maumivu kama yangu anayo Konde Boy

Namtuliza mwanangu ahh usikonde boy

Macho yanaona yes akili inasema no nooo atakukazia

Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no ooh ooh

Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no no nonono

Yeah kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます