Mdomo - Harmonize, Ibraah

Mdomo - Harmonize, Ibraah

Год
2021
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
201030

以下は曲の歌詞です Mdomo 、アーティスト - Harmonize, Ibraah 翻訳付き

歌詞 " Mdomo "

原文と翻訳

Mdomo

Harmonize, Ibraah

Hahaha, Jeshi

I really sound crazy

Chinga

I wanna sing for my lady oh

Sexy lady mmmh

Wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo

Ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo

Hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo

Bila sita saba na nane, hata kumi isingekuwepo

Tena unavyojisuuza hujikwezi

Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi

Yani unawaburuza hawakuwezi

Umeniteka mama

Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya

Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui

Akina Carry mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya

Na ulivyo na sifa unanipa tena, yani mpaka asubuhi

Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo

Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo

[Verse 2: Ibraah}

Mmmmmh Yeah

Oh baby I don’t evn understand

Nahisi kama umenifanyia limbwata

Ila ndo mapenzi sishangai

Yah

My baby, I don’t want a one night stand

Mi kwako chizi nishadata, nitakupenda till I die

Maana unanipa mawenge

Mara vichwa mara mwenge

Kaja gym na kite

Ilimradi uchokozi

Aah onananana

Macho yanatazama mbingu, na mikono ushafunga na pingu

Kibaridi huko nje kuna wingu, mi namwa mwagaga machozi

Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya

Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui

Akina Carry mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya

Na ulivyo na sifa unanipa tena, yani mpaka asubuhi

Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo

Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo mdo mdomo

Mdo

Anataka niteleze kwa ute

Nikitapika nisifute

Ananifanya nisijute

Hana

Say

Chumbani nikukute

Na ganja mbili tuvute

Na vumbi la Congo ulifute

Hana

Kondeboy call me number one

Chinga yes number one

Number one

Hehe

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます