Sandakalawe - Harmonize

Sandakalawe - Harmonize

Год
2021
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
219370

以下は曲の歌詞です Sandakalawe 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " Sandakalawe "

原文と翻訳

Sandakalawe

Harmonize

Konde boy call me number one

So much money in the bank money

All dem girls call me honey

Only your love can turn me to a mad man

Leo nakuto… totoo nakutoa kwenu uje kwangu

Nina hamu yakuto… totoo kutoa mahali uwe wangu

Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa

Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza

Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza

Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee

Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?

(Mweupee)

Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee

Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?

Leo nataka kukuto… too kutoa out

Mimi na hamu ya kuto… too kutoka na wewe

Jiandae leo na kuto… too kutoa out

Mimi na hamu ya kuto… too kutoka na wewe

(Yebooo)

(Yeah)

My beautiful baby from juba I wanna take you to dubai

Yes am ready to do that do that

Hasa twende popolipo lipopoo popolipo lipopoo

Popolipo lipopoo popolipo lipopoo

Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza

Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee

Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?

(Mweupee)

Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee

Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?

Leo nataka kukuto… too kutoa out

Mimi na hamu ya kuto… too kutoka na wewe

Jiandae leo na kuto… too kutoa out

Mimi na hamu ya kuto… too kutoka na wewe

(Yebooo)

Leo nataka kukuto… too kutoa out

Mimi na hamu ya kuto… too kutoka na wewe

Jiandae leo na kuto… too kutoa out

Mimi na hamu ya kuto… too kutoka na wewe

(Yebooo)

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます