Teacher - Harmonize

Teacher - Harmonize

  • リリース年: 2021
  • 言語: スワヒリ語
  • 間隔: 3:11

以下は曲の歌詞です Teacher 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " Teacher "

原文と翻訳

Teacher

Harmonize

Yah yah

Ah ha ha ha ha, Jeshi

(Imma in the beat)

Wakati wanahanya kugombea kiti

Wanadanganyana na viewers wa ku-cheat

Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti

Na magoma yakipigwa huko club mtiti

Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki

Ndo maana sitingishi hela, wala ninavyovimiliki

Mafumbo andika kwa dela, watu wanataka muziki

Mara kumi mwanangu wa sindelela, yeye hapendagi makiki oh na, na-na

Huu muziki nauweza

Nauweza kuuimba na kucheza

Ona unavyonipendeza

Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg)

Huu muziki nauweza

Nauweza kuuimba na kucheza

Ona unavyonipendeza

Hadi majirani wameanza kunigeza

I’m your teacher, teacher Konde

Teacher, teacher Konde

I’m your teacher, teacher Konde

Teacher, teacher Konde

Huu muziki nauweza

Nauweza kuuimba na kucheza

Ona unavyonipendeza

Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg)

Huu muziki nauweza

Nauweza kuuimba na kucheza

Ona unavyonipendeza

Hadi majirani wameanza kunigeza

Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki

Ndo maana sitingishi hela wala ninavyovimiliki

Mafumbo andika kwa dela watu wanataka muziki

Mara kumi mwanangu wa sindelela yeye hapendagi makiki oh na, na-na

Huu muziki nauweza

Nauweza kuuimba na kucheza

Ona unavyonipendeza

Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg)

Huu muziki nauweza

Nauweza kuuimba na kucheza

Ona unavyonipendeza

Hadi majirani wameanza kunigeza

I’m your teacher, teacher Konde

Teacher, teacher Konde

I’m your teacher, teacher Konde

Teacher, teacher Konde

Naika kupoteka, karipambilile, eh

Mwaka nakutayonja, nakutayonji

Navanta na mwi makonde

Vanemba, Newala

Hadi ku-Tandahimba

Naika kupoteka, karipambilile

Teacher, teacher Konde

Teacher, teacher Konde

I’m your teacher, teacher Konde

Teacher, teacher Konde

Safi, safi sana

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます