Nishapona - Harmonize

Nishapona - Harmonize

Год
2020
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
217650

以下は曲の歌詞です Nishapona 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " Nishapona "

原文と翻訳

Nishapona

Harmonize

Imani nafsi inaniambia

Haukuwa fungu langu

Na sidhani kama nilikosea

Kuukabidhi moyo wangu

Ulinidanganya mapenzi ni zuri basi

Panda twende safari

Bila kujua la kwako ni mwendo kasi

Ghafla ukanipa ajali

Upweke umetawala nafsi

Mwenzako usiku silali

Ninahesabu mabati

Kisa wewe

Sijutii moyo wangu

Kupenda nisipopendwa

Sirudii makosa yangu

Ujinga wakati wakwenda

Kinachoniuma roho yangu ooh

Kuwapa neno wahenga

Maana si kwa posti zangu

Na kujinadi napendwa

Nishapona, nishapona

Nishapona ila mazoea

Basi nenda umwambie

Nishapona!

Oooh mwambie

Basi umwambie eeh

Nishapona ila mazoea

Heshima kunyenyekea

Nilivyomnyenyekea

Akaniona si chochote kwake

Mazima akanipotezea

Akanipotezea, alipomaliza shida zake

zake

Na bado siamini kweli ndo yule

Alokuwa akisema, halali asiponiona

Na kujilisha ya nini? Yote ni bure

Nikamwita chanda chema, alinidanganya

Zile miziki za kunichombeza, zinaniuma roho

Mara akinidekeza, elaji njoo

Ungesema nilipoteleza, nikamwomba koo

Si vyema amenitelekeza mb kisadooo

Basi nenda umwambie, nishapona!

Oooh mwambie

Basi umwambie eeh

Nishapona ila mazoea

Basi nenda umwambie, Nishapona!

Oooh mwambie

Basi umwambie eeh

Nishapona ila mazoea

Nenda kamwambie naja

Nenda kamwambie naja

Basi nenda kamwambie naja

Nenda kamwambie naja

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます