I Miss U - Harmonize

I Miss U - Harmonize

Год
2020
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
202380

以下は曲の歌詞です I Miss U 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " I Miss U "

原文と翻訳

I Miss U

Harmonize

Only you on my mind

Nahisi mwengine hakuna kwenye hii dunia

I don’t know what to do never mind

Hata salam unauchunaa, vimessage nikikutumiaa

Ingawa silijui kosa ila fanya unisamehee

Umeni adhibu vya kutoshaa japo imani nioneee

Oh babyy

Nikalala naotaaa

Naota kama unaniita

Ila nafsi inasitaaa ipo siku ntaitikaaa

Ooh nikilala naoota

Naota kama unaniita

Ila nafsi inasitaa ipo siku ntaitika my baaaaaaaby

I miss youuu

Ukiona mtu mzima ma analia ujue kuna jambo

I miss youuu

Maji hayapandi mlima ma me kiwete siwez kwenda ng’ambo

Nili sacrifice my love for you

Uuu uuuuuuu

Leo unaniona sifai na matusi juuu

Uuu uuuuuuu

Natamani urudi mama ila siwez kukuforce force

Punguza makusudi drama hizo mbwembwe na vipost post

Kutwa nashinda insta

Nazitazama zako picha

Usiombe bando likisha

Me mpweke ila yote tisaa

Ooooooh

Nikilala naota, naota kama unanita

Ila nasfi inasitaaa

Ipo siku ntaitikaa

Oooh nikilala naotaaa

Naota kama unaniita ila nafsi inasita ipo siku ntaitika my baaaby

I miss you

Ukiona mtu mzima analia ma ujue kuna jambo

Maji hayapandi mlima ma me kiwete siwezi kwenda nga’mbo

I miss you

Nikilala naota naota kama unanitaa ila

Nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitikaaa

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます