Dunia - Harmonize

Dunia - Harmonize

Год
2021
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
219720

以下は曲の歌詞です Dunia 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " Dunia "

原文と翻訳

Dunia

Harmonize

Nikifikiria dunia huwaga sipati jibu

Nawaza mpaka nadata

Nikikuuliza nini dunia huwezi kunipa jibu

Hapo ndo napata utata

Mmmh muda mwingine unaweza dhani ni utani

Mbona vitu vizuri vyote viwe ni vya shetani

Eti mziki shetani, pesa nazo shetani

Mpira na pombe shetani

Mademu na mihadarati, shetani

Naamini Mungu yupo najua

Ndo ananifanya ninapumua

Akitaka hata sasa ananichukua

Ila mi nataka kujua

Ni nini dunia

Dunia dunia

Hivi ni nini dunia

Dunia eeh

Mmmh wanaoishi kwa imani

Misikitini makanisani

Uwepo wao hauonekani

Hali zao zipo taabani

Hivi ulikuaga wapi before

Hujaja duniani

Na kwanini kunakifo

Unapokwenda hapajulikani

Sawa safari ni yetu sote

Na hakuna aliyekwenda na akarudi

Japo kutusimulia

Kama pazuri ama pabaya

Uwe tajiri ama masikini

Kwa mchanga utarudi

Minatoa wosia

Tusiishi kwa ubaya

Kunakidude kinaitwa mapenzi

Hakijawahi kueleweka

Wakati wewe unalia

Mwenzako yeye anacheka

Hivi ni nini dunia

Dunia dunia

Ni nini dunia

Dunia eeh

Eeh Pedezye Kumbuka

Msalimia mwijaku

Tuombeane mwisho mwema (eeh eeh yeah)

Tuombeane mwisho mwema (maana hakuna anaejua kesho)

Tuombeane mwisho mwema (kama wewe muislamu)

Tuombeane mwisho mwema (omba kwa dini yako)

Tuombeane mwisho mwema (kama wewe ni mkristo)

Tuombeane mwisho mwema (nisiri nisiri)

Tuombeane mwisho mwema (tuombeane nisiri)

Ni nini dunia

Dunia dunia

Hivi ni nini dunia

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます