Vibaya - Harmonize

Vibaya - Harmonize

Год
2021
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
246890

以下は曲の歌詞です Vibaya 、アーティスト - Harmonize 翻訳付き

歌詞 " Vibaya "

原文と翻訳

Vibaya

Harmonize

Alisema mapenzi vita

Mi na yeye tuungane kuwateketeza maadui

Eeh maadui

Badala ya miezi kupita aah

Vikombe lazima vigongane

Na sio kwamba hayajui, eeh hayajui

Pigo za kusema vya jndani mi sinaga hizo

Ama kumtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizo

Tulia hapa tutakuwa wa ndani hadi paradiso

Na tukatangaza kweupe mambo ya hadharani

Na tattoo ndo hizo, oh oh ohhh

Sitaki kuamini kwamba

Lile kapu la mabaya yangu

Halina hata machache mema oh mema

Nitakuwa mshamba

Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu

Ili nionekane mwema

Japo mapenzi yanaumiza

I wish tusisemane (Vibaya vibaya)

Ili kesho tusizikane (Vibaya vibaya)

Usiwasikilize wapambe (Vibaya vibaya)

Wanachotaka maneno ili kesho

Watuchambe (Vibaya vibaya)

Ooaa aah, oooh aaah

Oooh aah, ooh aah… ooooh mmmh

Nitunzie siri zangu

Nami nitunze zako za miaka rudi nenda

Kuna leo na kesho mmh mmmh mmmh

Hata maadui zangu walikuwaga maadui zako

Hawawezi kukupenda

Wanakuvuta uwe kichekesho

Mmmmh mmmh mmmh

Maana hata ukisambaza

Picha zangu za aibu ni sawa

Hata hunikomoi

Na hata utupu wako ukiutandaza

Kwa watu wangu wa karibu sio doa, hujengi hubomoi

Mama kuna kamchezo

Mtunze mtoto wako

Na watu wenye majungu (Majungu)

Nilikubali kuviacha vya dezo

Sababu ya mapenzi yako

Nikaachana na mzungu (Mzungu)

Maneno yao utadhani wanakutetea

Kumbe tudhalilishane wanachongojea

Usiwape faida wambea

Na ni kama kawaida nakuombea

Sitaki kuamini kwamba

Lile kapu la mabaya yangu

Halina hata machache mema oh mema

Nitakuwa mshamba

Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu

Ili nionekane mwema

Japo mapenzi yanaumiza

I wish tusisemane (Vibaya vibaya)

Ili kesho tusizikane (Vibaya vibaya)

Usiwasikilize wapambe (Vibaya vibaya)

Wanachotaka maneno ili kesho

Watuchambe (Vibaya vibaya)

Ooaa aah, oooh aaah

Oooh aah, ooh aah… ooooh

Konde Music Worldwide

B Boy thank you for the sound

Sound… Sound

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます