Sukari - Zuchu

Sukari - Zuchu

Год
2021
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
353680

以下は曲の歌詞です Sukari 、アーティスト - Zuchu 翻訳付き

歌詞 " Sukari "

原文と翻訳

Sukari

Zuchu

Eti nimemlambisha

Ananiambia chombeza (Chombeza)

Tena nikiizidisha

Ananiambia koleza (Koleza)

Nikitaka kusitisha

Ananiambia ongeza (Ongeza)

Japo imedhibitishwa

Ila itampoteza

Ikipanda ni balaa (Naogopa)

Ikishuka ndo hatari (Naogopa)

Asijepata madhara (Naogopa)

Akaikosa na hali (Naogopa)

Ladha yake msala (Naogopa)

Shira ya Kizanzibari (Naogopa)

Na mi simpi mi wala

Akitaka nampa

Aii sukari (Nampatia)

Ah sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)

Ah sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)

Sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)

Ah sugar sukari (Nampatia)

Yelele, yelele…

Na akilia njaa

Ju njaa sifanyi ajizi

Namjazia jar

Ju jaa na vitangawizi

Baba chanja, baba chanja (Eeeh.)

Chukua vyote chukua (Eeeh.)

Vitafune nganja nganja (Eeeh.)

Chagua mwaya chagua (Kula)

Ujiboosti na karanga ee (Eeeh.)

Tuliza na kitumbua (Eeeh.)

Jihadhari na majanga wee

Usije ukaugua maana

Ikipanda ni balaa (Naogopa)

Ikishuka ndo hatari (Naogopa)

Asijepata madhara (Naogopa)

Akaikosa na hali (Naogopa)

Ladha yake msala (Naogopa)

Shira ya Kizanzibari (Naogopa)

Na mi simpi mi wala

Akitaka nampa

Aii sukari (Nampatia)

Ah sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)

Ah sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)

Sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)

Ah sugar sukari (Nampatia)

Nimroge kwanini kashaninogea

Dambua, dambua

Utamu wa sukari ni tamu kolea

Dambua, dambua

I say my boo dambua (Dambua)

We dambua (Dambua)

Halua halua (Dambua)

We dambua (Dambua)

Nasema da dambua (Dambua)

We dambua (Dambua)

Nawa kama unafua (Dambua)

Kiguru nyanyua (Dambua)

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます