以下は曲の歌詞です Kwaru 、アーティスト - Zuchu 翻訳付き
原文と翻訳
Zuchu
Iyoo Lizer
Aaah Ah Aaaaaah
Ah
Roho Ingekua Na Macho Ungejionea
Moyo Haufanyi Kificho Ukigotea
Mimi Kipi Nisonacho Ungeongea
Mwili Wangu Rochorocho Nanyong’onyea
Chungu Nilichopika
Wamepakua Wenzangu
Huruma Napukutishwa
Wamechukua Tonge Langu
Na Kitabu Chetu Cha Mapenzi
Kurasa Umeichanachana
Hazisomeki Tena Tenzi
Zimepoteza Maana
Mpofu Moyo Wangu
Ulishindwa Ona
Hukuandikwa Wakwangu
Limenikaba Nalitema
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Kachukua Kisoda Ana Ukwangua
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Moyo Wangu Unaumia
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Ah! Ye Kwa Nguvu Ana Ukwarua
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Jamani Moyo Wangu
Unaumia
Eh
Langu Tatizo
Nachunda Najimaliza
Mi Nakesha Kumuwaza
Naweweseka Lake Jina (Ooh Jina)
Oh! Basi Kwa Unyonge
Najikaza Niache Kulia
Mana Kwake Bahati Sina (Ooh Sina)
Maumivu Ameipora Furaha Yangu
Ooh Amekwenda Nayo
Na Zangu Mbivu Zimeniozea
Mmh Hasara Kwangu
Oooh Oh! Yatajwisha Nayoo
Mpofu Moyo Wangu
Ulishindwa Ona
Hukuandikwa Wakwangu
Limenikaba Nalitema
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Kachukua Kisoda Ana Ukwangua
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Moyo Wangu Unaumia
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Ah! Ye Kwa Nguvu Ana Ukwarua
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Jamani Moyo Wangu
Unaumia
様々な言語の楽曲
あらゆる言語への高品質な翻訳
必要なテキストを数秒で見つけます