以下は曲の歌詞です Nyota 、アーティスト - Tresor, DJ Maphorisa, Kabza De Small 翻訳付き
原文と翻訳
Tresor, DJ Maphorisa, Kabza De Small
Wangonja nini
Kuja nishike tu sau shida zetu
Mpaka jioni
Mi ndapotea mikononi mwako fatou
Duniani mambo
Siwezi maisha kama wewe haukuje
Duniani mambo
Siwezi pumua kama wewe haunishike
Wasema nini
Njoo karibu tuicheze ngoma yetu
Tuviche mbali
Mapenzi yetu wanadamu si wazurri
Dunia ni mambo
Siwezi maisha kama wewe haukuje
Dunia ni mambo
Siwezi pumua kama wewe haunishike
Ntakuweka rohoni
Mpaka sisi turuke
Wewe ni nyota wa moyo
Ntakuweka rohoni
Mpaka sisi turuke
Wewe ni nyota wa moyo
様々な言語の楽曲
あらゆる言語への高品質な翻訳
必要なテキストを数秒で見つけます