Kuliko Jana - Sauti Sol, Redfourth Chorus

Kuliko Jana - Sauti Sol, Redfourth Chorus

Год
2016
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
309930

以下は曲の歌詞です Kuliko Jana 、アーティスト - Sauti Sol, Redfourth Chorus 翻訳付き

歌詞 " Kuliko Jana "

原文と翻訳

Kuliko Jana

Sauti Sol, Redfourth Chorus

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Nakuomba Mungu awasamehe

Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema

Na maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki

Ujue binadamu ni waajabu sana

Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika

Ujue binadamu ni waajabu sana

Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea

Chochote kitanikatsia, kuingia binguni utaniondolea (oooh oooh yeah)

Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)

Chochote kitanikatsia, kuingia binguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)

Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)

Chochote kitanikatsia, kuingia binguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)

Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea

(nakutegemea)

Chochote kitanikatsia, kuingia binguni utaniondolea (oooooooh)

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)

Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia binguni utaniondolea

Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)

Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Nipende leo Kuliko Jana

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます