Extravaganza - Sauti Sol, Bensoul, Nviiri The Storyteller

Extravaganza - Sauti Sol, Bensoul, Nviiri The Storyteller

Год
2019
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
242970

以下は曲の歌詞です Extravaganza 、アーティスト - Sauti Sol, Bensoul, Nviiri The Storyteller 翻訳付き

歌詞 " Extravaganza "

原文と翻訳

Extravaganza

Sauti Sol, Bensoul, Nviiri The Storyteller

Ayeee, rhumba imetamba

Sauti Sol inna di area, kumechacha

Karibuni kwenye extravaganza

Bensoul alipofika, alifunika, eeeh

Wakaja na ma-drama

Sinema zetu ni telenovela, eeeh

Wakasunda mizinga

Hawakujua si tuko mavela, yeeh

Wakaita polisi

Kumbe polisi pia ni shabiki, eeeh

Wakaficha msosi

Wakatupata na dishi mezani, yeeh

Ayeee, rhumba imetamba

Sauti Sol inna di area, kumechacha (Kila kona, yo, yo)

Karibuni kwenye extravaganza

Na Nviiri alipofika, alifunika, eeeh

Walifunga milango

Wakatupata tuko ndani nao (Uh)

Wakaita makanjo

Kumbe ni sisi huwalipa salo, wo-wo (Wo-wo)

Wakazima mitambo

Shabiki wakabaki kwenye dance floor

Na iwe funzo kwao (Uh)

Tunaongoza, wanafuata nyayo, yo

Ayeee, rhumba imetamba

Sauti Sol inna di area, kumechacha

Karibuni kwenye extravaganza

Na Crystal alipofika, alifunika, eeeh

Wakaja na umati

Wakageuka kuwa wafuasi (Eeeh)

Wakaja na majini

Wakapata tushazama kwa dini (Oh, oh, oh, oh)

Nywele za kifarasi

Lakini si ni moto ya makasi (Oooh)

Risasi, mwendo kasi

Dandieni msiwachwe na basi, eeeh

Ayeee, rhumba imetamba

Sauti Sol inna di area, kumechacha (Kila kona, oh)

Karibuni kwenye extravaganza

Kaskazini walipofika, walifunika, eeeh

Wakaenda kusini

Wakajipata wako kaskazini, eeeh

Wakaja na magigi

Lakini si tukaja na mziki, eeeh

Woah, woah, woah, yeah, yeah, yeah

Hata wazime taa, tutazidi ku-party

Woah, woah, woah, yeah, yeah, yeah

Hizi vitu hazitakangi utiaji

Na wakiapisha (Tunaapisha)

Na wakifunika (Tunafunua)

Eh, wakianika (Tunaanua)

Na wakisafisha (Tunachafua)

Ayeee, rhumba imetamba (Mama yo-yo-yo)

Sauti Sol inna di area, kumechacha (Kila kona)

Karibuni kwenye extravaganza

Karibuni kwenye extravaganza

Ayeee, rhumba imetamba

Sauti Sol inna di area, kumechacha

Karibuni kwenye extravaganza

Karibuni kwenye extravaganza

Why you looking for trouble, trouble, trouble?

Hapana rusha mawe kwa police station

Kabla uwashe kivela, cheki situation

Hapana shusha bendera kwa chifu

Why you looking for trouble, trouble, trouble?

Bibi ya wenyewe is a no-go zone

Kabla ukute vitu, piga protection

Nairobi, mwizi, utageuzwa jivu

Why you looking for trouble, trouble, trouble?

Hapana rusha mawe kwa police station

Kabla uwashe kivela, cheki situation

Hapana shusha bendera kwa chifu

Why you looking for trouble, trouble, trouble?

Bibi ya wenyewe is a no-go zone

Kabla ukute vitu, piga protection

Nairobi, mwizi, utageuzwa jivu

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます