Corona - Rayvanny

Corona - Rayvanny

  • リリース年: 2018
  • 言語: スワヒリ語
  • 間隔: 2:42

以下は曲の歌詞です Corona 、アーティスト - Rayvanny 翻訳付き

歌詞 " Corona "

原文と翻訳

Corona

Rayvanny

Corona, corona, corona

Nooh ooh olo lo lolo ooh

Mmh hey yy eeh (Mocco)

Wote tumuombe Mungu kwa hili janga

Ikibidi lipite

Tujihadhari na tujikinge

Ili lisitufike

Habari kote duniani zimesambaa

Ugonjwa unaua na hauna tiba

Na wengine wetu masikini hatujiwezi

Mwenyezi Mungu kawe tiba

Watoto wetu mashule, aah

Mama zetu tu sokoni

Kwenye vyombo vya usafiri makazini

Tujilinde

Osha mikono, aah

Epuka mikusanyiko sio ya lazima, aah

Na uonapo dalili

Mapema wahi hospitali

Corona, corona, corona

Corona, corona, corona

Corona, corona, corona

Corona, corona, corona

Tanzania hatuwezi tukajiweka pembeni bila kuchukua hatua

'Hatua zimeshaanza kuchukuliwa

Waziri wa wizara ya afya ameshazungumza

Ameshatoa tahadhari mbalimbali

Ambazo tunatakiwa kuzichukua

Napenda nirudie ndugu zangu Watanzania

Kwamba ni vizuri sana tukaendelea

Kuchukua tahadhari, kwa nguvu zote

Ugonjwa huu unaua, na unaua kwa haraka sana

Niwaombe ndugu zangu Watanzania

Tusipuuze ungonjwa huu (Corona, corona, corona)

Tusipuuze hata kidogo (Corona, corona, corona)

Ni lazima tuanze kuchukua hatua (Corona, corona, corona)

Za kujikinga kwa tatizo hili (Corona, corona, corona)

このアーティストの他の曲:

サイト上の新しいテキストと翻訳:

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます