Naogopa - Rayvanny

Naogopa - Rayvanny

Альбом
Flowers
Год
2020
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
223290

以下は曲の歌詞です Naogopa 、アーティスト - Rayvanny 翻訳付き

歌詞 " Naogopa "

原文と翻訳

Naogopa

Rayvanny

Mapenzi chenga

Yakikupiga unasurrender

Na wengi wakipendwa

Wanasahau kuna kutendwa

Mapenzi chenga

Yakikupiga unasurrender

Na wengi wakipendwa

Wanasahau kuna kutendwa

Wapi mkandarasi wa moyo

Wa ukuta wa mapenzi unabomoka

Kinacho ponza wengi ni moyo

Wakikalia kuti kavu wanadondoka

Wapi mkandarasi wa moyo

Wa ukuta wa mapenzi unabomoka

Kinacho ponza wengi ni moyo

Wakikalia kuti kavu wanadondoka

Unajisifu umempata

Kumbe alo mwacha anamfata

Anachotaka anakipata

Wanasema hawara hana talaka

Unajisifu umempata

Kumbe alo mwacha anamfata

Anachotaka anakipata

Wanasema hawara hana talaka

Naogopa (naogopa)

Naogopa (naogopa)

Naogopaaah

Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee

Naogopa (naogopa)

Naogopa (naogopa)

Naogopaaah

Tena tochi ya mapenzi isinimulike

Nimeyaona bayana

Ndo maana sitaki kumbuka ya jana

Alivyonidanganya

Moyo wangu ukapiga danadana

Nimeyaona bayana

Ndo maana sitaki kumbuka ya jana

Alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana

Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi

Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi

Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki

Umemteka kwa mali na cheki

Kumbe vyombo anakula muuza magazeti

Unayemwita bebi anaweza bebwa kama begi

Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji

Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama begi

Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji

Unajisifu umempata

Kumbe alo mwacha anamfata

Anachotaka anakipata

Wanasema hawara hana talaka

Unajisifu umempata

Kumbe alo mwacha anamfata

Anachotaka anakipata

Wanasema hawara hana talaka

Naogopa (naogopa)

Naogopa (naogopa)

Naogopaaah

Kwenye safari ya mapenzi mi nisihusike

Naogopa (naogopa)

Naogopa (naogopa)

Naogopaaah

Tena tochi ya mapenzi isinimulike

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます