Jipe - Nadia Mukami, Marioo

Jipe - Nadia Mukami, Marioo

  • リリース年: 2020
  • 言語: スワヒリ語
  • 間隔: 3:25

以下は曲の歌詞です Jipe 、アーティスト - Nadia Mukami, Marioo 翻訳付き

歌詞 " Jipe "

原文と翻訳

Jipe

Nadia Mukami, Marioo

Kamoyo kangu kachoyo, ila kwako nimetulia

Nairobi mpaka bagamoyo, anataka kunichumbia…

Sasa nalishwa, navishwa, naogeshwaaaa aaah

Tena nalindwa napendwa yule si wa kufichaaa aaah

Picha kule kule, watapata taabu saaana…

Macho mbele mbele, ananipenda saanaaa aaah

(PRE- CHORUS)

Hakuna pingamizi kwetu

Hakuna madrama huku kwetu

Hatuna maneno huku kwetu

Tunapendana kikwetu…

Aka kamoyo kangu nijipe… nijipe…

Ukinipenda sana nijipe… nijipe.(X2)

VERSE 2: (MARIOO)

Mmmh

Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai… kweli…

Uh.

ndo nishazama usinipige kipapai honey

Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai… kwelii…

Uh… ndo ushakwama unachotaka sikatai honey

Najua bado huamini haya yamekua.(yamekua ehh)

Acha siamini…

(PRE CHORUS:)

Si Hakuna pingamizi kwetu

Hakuna madrama huku kwetu

Hatuna maneno huku kwetu

Tunapendana kivyeeetuu…

Aka kamoyo kangu nijipe… nijipe.

Ukinipenda sana nijipe… nijipe (X2)

VERSE 3:(NADIA MUKAMI)

Mapenzi malove nawe, iwe shida au raha nitaponda nawe…

Nataka kapicha nawe… kumbusho pale tumetoka naweee

このアーティストの他の曲:

1

Si Rahisi

Nadia Mukami • 2020

2

Maombi

Nadia Mukami • 2020

サイト上の新しいテキストと翻訳:

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます