Maombi - Nadia Mukami

Maombi - Nadia Mukami

  • リリース年: 2020
  • 言語: スワヒリ語
  • 間隔: 3:35

以下は曲の歌詞です Maombi 、アーティスト - Nadia Mukami 翻訳付き

歌詞 " Maombi "

原文と翻訳

Maombi

Nadia Mukami

Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha

Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba

Hao binadamu walinipa wiki

Sasa imepita miaka bado wanasubiri

Kazi ya Mungu haina makosa

Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi

Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi

Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi

Hoya hoya, hoyaaah

Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee

Ila Mungu hawezi kubali uangukee

Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeeh

Kazi ya Mungu haina makosa

Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi

Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi

このアーティストの他の曲:

1

Si Rahisi

Nadia Mukami • 2020

サイト上の新しいテキストと翻訳:

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます