以下は曲の歌詞です Damu Ya Salaam 、アーティスト - Khadja Nin 翻訳付き
原文と翻訳
Khadja Nin
tangu iraki mpaka amerika
wako karibu yakufunga vita
mi mama mzazi nauliza
ni nani ata linda watoto wetu
bwana hussein anasema:
«nataka salaam»
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mwangiwa
ni ya wadogo na watoto tu mimi huyu nakosa njiya
yakusikika kwa wakubwa
kwa hakika tulijioneya
vita ya kwanza ilizala fitina
bwana hussein anasema:
«nataka salaam»
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mwangiwa
ni ya wadogo na watoto tu nakata matumaini
ju kwa vile naona
wakubwa hawajali macozi ya mutu mudogo analiya wake
siraha ya amani ilikuta kwake
mr.clinton anasema:
«nataka salaam»
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mwangiwa
ni ya wadogo na watoto tu mr.clinton anasema:
«nataka salaam»
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mwangiwa
ni ya wadogo na watoto tu
様々な言語の楽曲
あらゆる言語への高品質な翻訳
必要なテキストを数秒で見つけます