Upofu - Jux

Upofu - Jux

  • リリース年: 2019
  • 言語: スワヒリ語
  • 間隔: 3:55

以下は曲の歌詞です Upofu 、アーティスト - Jux 翻訳付き

歌詞 " Upofu "

原文と翻訳

Upofu

Jux

Ahh

Unaweza kupenda, tena bila sababu

Ndio maana sijutii, kukutana na wewe

Mapenzi ni kitambo, toka enzi za mababu

Ndio maana sijutii, kukutana na wewe

Upofu wako sio tatizo

Uwepo wako kwenye matatizo

Aaah!

Tabia zako ooh jinsi ulivo

Huruma wako ooh, baby

Nywele zako, baby, Sura yako

Kucha zako mama, Rangi yako

Mwendo wako, darling, Shepu yako

Zinanibamba wewe

Pozi zako, Mama, Maringo yako

Unanidatisha michezo yako

Kiuno chako unaweza, Eeeh

Natamani ungejiona

Jinsi ulivyo mrembo X2

Ungeona mama

Jinsi ulivyo mrembo X2

Natamani ungejiona

Jinsi ulivyo mrembo X2

Wewe ni mzuri

Jinsi ulivyo mrembo X2

Kuna muda unatamani, unipikie chakula, Kibaya hauwezi

Kuna muda unatamani unichagulie cha kuvaa, Kibaya hauwezi

Kuna muda unatamani tutazame wote muvi, kibaya hauwezi

Kuna muda unatamani uione sura yangu, Kibaya hauwezi

Kuna muda unatamani uione sura yangu, Kibaya hauwezi

Siwezi kuacha njiani, We ndio wangu maishani

Na wengine sitamani, Hata kama hauoni

We ndio wangu daily, Wengine sitamani

Unanipa raha tele, Umenikaa moyoni

このアーティストの他の曲:

1

#Umenikamata

Jux • 2017

2

Fimbo

Jux • 2018

サイト上の新しいテキストと翻訳:

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます