以下は曲の歌詞です Fimbo 、アーティスト - Jux 翻訳付き
原文と翻訳
Jux
Kwanza kabisa thanks to the lord
Uzuri wako sio wakudownload (wakudownload)
Unanishangaza kilasiku misichokiii
Mwingine kama weee misiktakiii
Bridge:
(Tulu tulu tulu…)
Wewe ndo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mamy
Nikuweketu kabisa ndani
Kwangu wewe ndo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mamy
Niwewe tuu tuu baby wewee
I give you everything X3
Nitafunga moyo sitoki funguo nikukabizi wee
Nitakupa muda wangu na notii, chochote unachotaka wee
(hayayaaa ayaaa…)
Unarangi ya chocolate magnetic romantic
Jinsi ulivo humble baby so sex wananivuta zaidii
Kurudi nyumbani late misitaki
Sababu ninawivu moyoni ukiwa mbalii
yeee
Bridge:
(Tulu tulu tulu…)
Wewe ndo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mamy
Nikuweketu kabisa ndani
Kwangu wewe ndo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mamy
Niwewe tuu tuu baby wewee
I give you everything X3
Nitafunga moyo sitoki funguo nikukabizi wee
Nitakupa muda wangu na notii, chochote unachotaka wee
Univuraga vuruga eh…
Yani mikwako sisiki baby
様々な言語の楽曲
あらゆる言語への高品質な翻訳
必要なテキストを数秒で見つけます