Unaniweza - Jux

Unaniweza - Jux

  • リリース年: 2019
  • 言語: スワヒリ語
  • 間隔: 3:50

以下は曲の歌詞です Unaniweza 、アーティスト - Jux 翻訳付き

歌詞 " Unaniweza "

原文と翻訳

Unaniweza

Jux

Pindi ukicheka we, Mi moyo unanitabasamu

Huwa mwenye kujihisi mororo

Ila ukilia wee, Hata kula nakosa hamu

Huwa mwenye kujihisi mdororo

Ukiwa karibu na mie, Najiona bora

Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma

Uwepo wako we na mie, Umetia fora

We ndio dakitari, Darling, Nikitaka kupona

Unaniweza weza X4

Sitamani mwingine, Wala sidhani ka ataweza kutokea

Maana mambo yako moto moto, Moto

Labda upite ushetani mwingine, Maneno ya watu nishazoea i don’t care

Kila kukicha choko choko, Choko

Unavyonipa raha, Ndiyo nanepa mie

Penzi lako natinga, navimba nabembea

Kinachokufaaa, Usisite niambie

Kwako niko radhi hata zege nibebe, Machinga nidadishee

Ukiwa karibu na mie, Najiona bora

Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma

Uwepo wako we na mie, Umetia fora

We ndio dakitari, Darling, Nikitaka kupona

Unaniweza weza X4

Unaniweza weza, I do it for love

For love

Unaniweza weza, I do it for love

For love

Unaniweeeza

Abbah

このアーティストの他の曲:

1

#Umenikamata

Jux • 2017

2

Fimbo

Jux • 2018

サイト上の新しいテキストと翻訳:

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます