以下は曲の歌詞です Nakupenda Wewe 、アーティスト - Safari Sound Band 翻訳付き
原文と翻訳
Safari Sound Band
Mpenzi mbona wanisumbua
Kila nifanyavyo sivyo
Bibi wacha kunibagua
Nakupenda vivyo ulivyo
Nakupenda (x3) wewe
Nakupenda (x3) wewe
Kichuna ewe kichuna
Nina masikitiko
Usiku kucha silali
Hata nala kwa kijiko
Nakupenda (x3) wewe
Nakupenda (x3) wewe
Nanana nanana nananana…
様々な言語の楽曲
あらゆる言語への高品質な翻訳
必要なテキストを数秒で見つけます