On Top - Octopizzo

On Top - Octopizzo

  • リリース年: 2014
  • 言語: スワヒリ語
  • 間隔: 3:59

以下は曲の歌詞です On Top 、アーティスト - Octopizzo 翻訳付き

歌詞 " On Top "

原文と翻訳

On Top

Octopizzo

Walidhani wakibai subaru watakuwa wameacha legacy

Octo niko juu ya madawa ni kaa nimekalia pharmacy

Brain iko full ata ujinga hiwezi ulizia vacancy

Unataka kuwa ka mi?

come YGB then hang na si

Bado unakunywa cham?

eh, zangu ni ma Hennessy

Kuja na attitude tukuingize maira, kamasi

Tunawahemesha tunawachochoa wakitokwa na makamasi

Mafuta ikiisha tutapita na makaa basi

Ukikula chungwa na ndizi mi nitakula nanasi

Niko mbele, wako nyuma ka wafuasi

Reason ni daily maze, me huwachoma ka pasi

Wanakam so slow, ju track iko kasi

Sahi namek doh, jo mtu wangu niko kazi

Mtaa naenda na maziwa ju kwa rap game mi ni mzazi

Cost ya kila kitu imepanda, ebu enda Mombasa mtu wangu uulize bei ya madafu

Number nane wapi?

Number nane on top

Octopizzo wapi?

Octopizzo on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

YGB wapi?

YGB on top

Octopizzo wapi?

Octopizzo on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

(Verse II)

I spit fire then I let it burn like Usher

Daily huaga nazidi kuexcel ka chino, daily nawachenga zile za ki Ronaldinho

Ka unaumwa sana mtu wangu pia unaeza kunywa ino

Ukinibo sana mtu wangu pia naweza kutukana *##*

Ni I double, P-I mambo, sahii niko on the spot ka Radio Jambo

Nakunyanyasa ata kuliko madha wako wa kambo

Na ka hujawai jua mtu wangu rap sijaanza kitambo

Nimeanza juzi na tayari niko kwa mitambo, niko used to the machines maze ka

Rambo

Wananiogopa, siku hizi wakiniona wanaanza kusitasita ka list ya Ocampo

Octopizzo wapi?

Octopizzo on top

Number nane wapi?

number nane on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

YGB wapi?

YGB on top

Octopizzo wapi?

Octopizzo on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

このアーティストの他の曲:

1

Another Day

Octopizzo • 2020

2

Nikupate

Octopizzo • 2020

3

Blackstar

Octopizzo • 2014

4

Noma Ni

Octopizzo • 2018

5

Zikishika

Octopizzo • 2019

6

Pull Up

Octopizzo • 2017

7

Could Be Us

Octopizzo • 2015

8

Bila Mic

Octopizzo • 2014

9

Young Puffy

Octopizzo • 2018

10

Che Che

Octopizzo, Barak Jacuzzi • 2020

11

$ing Along

Octopizzo • 2017

12

Utanisho

Octopizzo • 2016

13

Red Namba Plate

Octopizzo • 2018

サイト上の新しいテキストと翻訳:

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます