Powerful - Nandy

Powerful - Nandy

Год
2018
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
241370

以下は曲の歌詞です Powerful 、アーティスト - Nandy 翻訳付き

歌詞 " Powerful "

原文と翻訳

Powerful

Nandy

Nilipotoka nilipona, na vijimateso nilionja

Mola ananiongoza, najiepusha na ulofa

Niko huku Ako kule

Huyu ndio Mungu bwana hawezi vuruga game

Na we ndo kinara huku Ako kule

Ameninyoosha Sana nijajitambua

I am powerful, sababu yako

Cause you’re powerful, zaidi yao

Madugudugu, shauri zao

Amani moyoni, kutoka kwako

Zaidi, zaidi yao, zaidi

Wahenga wahenga walisema aliyejuu mngojee chini

Mimi msichana was kisasa siwezi suburia chini

Niko gadogado, napambana bado

Imani yangu kwako ndo nguzo kwako

Niko gadogado, napambana bado

Imani yangu kwako

I am powerful, sababu yako

Cause you’re powerful, zaidi yao

Madugudugu, shauri zao

Amani moyoni, kutoka kwako

Walisema Sina na sitoweza weza kupata na ndo maana leo (wamefyata)

Walisema Sina nyota yangu ya punda ndo maana leo

I am powerful, sababu yako

Cause you’re powerful, Zaidi yao

Madugudugu, shauri zao

Amani moyoni, kutoka kwako

I am powerful

Zaidi, zaidi yao, zaidi

Sababu yako

Zaidi yao

Shauri zao

Kutoka kwako

Cause I’m powerful

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます