Watakubali - Mbosso

Watakubali - Mbosso

Год
2018
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
200670

以下は曲の歌詞です Watakubali 、アーティスト - Mbosso 翻訳付き

歌詞 " Watakubali "

原文と翻訳

Watakubali

Mbosso

Maaaaaaaa aaaah ah!

Uh Ohohohohoh

Oh Ohohoh!

(Wasafiii)

Hhhmm

Maaaaaaaa aaaah ah!

Iyoo Lizer

Uh Ohohohohoh

Oh Ohohoh!

Asalala Mungu kaninyima upole

Hali yangu majalala

Mwali nliekosa mkole

Terminal Mbagala

Ofisi ajira ndole

Nawakalisha mafala

Wajinga wakuja Bongo

Wageni wa Dar es Salaam

Vipi nitakidhi mahitaji yako

Yangu yananishinda

Hali mbaya sina godoro

Na vipi kuhusu wazazi wako

Kielimu mimi mjinga

Japo mapenzi haya

Hayanaga kasoro

Kama una kumbukumbu

Hata baba yako nlishawahi kumkaba

Alilia kwa uchungu na mama yako

Nlipompola zaga

Je!

Watakubali?

Hivi unadhani (Watakubali?)

Wazazi wako (Watakubali?)

Me nawe hatulingani (Watakubali?)

Hadhi yangu na yako (Watakubali?)

Hivi unadhani (Watakubali?)

Waaaa aaah!!!

(Watakubali?)

Shida mama shida (Watakubali?)

Aaaaah ah!

Najua watamani tuoane

Miguu yangu kutwa iko busy eeh!

Sitaki ubaki mjane

Kula kwangu hadi nikimbizwe eeh!

Niendapo barabarani

Usinisubiri nikikwambia ngoja

Maana si kazi ila vitani

Kufa ni tendo la mara moja

Muda mwingine shati begani

Pekupeku utadhani nimerogwa

Mguu nje mguu ndani

Defender inakubeba kama mzoga

Raha ya mapenzi ushemeji kucheka

Dada na majirani

Na nishafanya kote manjegeka

Hawanipendi mtaani

Vipi nitakidhi mahitaji yako

Yangu yananishinda

Hali mbaya sina godoro

Na vipi kuhusu wazazi wako

Kielimu mimi mjinga

Japo mapenzi haya

Hayanaga kasoro

Kama una kumbukumbu

Hata baba yako nlishawahi kumkaba

Alilia kwa uchungu na mama yako

Nlipompola zaga

Je!

Watakubali?

Hivi unadhani (Watakubali?)

Wazazi wako (Watakubali?)

Me nawe hatulingani (Watakubali?)

Hadhi yangu na yako (Watakubali?)

Hivi unadhani (Watakubali?)

Waaaa aaah!!!

(Watakubali?)

Shida mama shida (Watakubali?)

Aaaaah ah!

Nkuonge kisimu cha camera (Naanzaje!)

Na kila rusha roho madera (Naanzaje!)

Eeeeh!

Saloon uwende kila week (Naanzaje!)

Weekend twende kwa miziki (Naanzaje!)

Naaaaanzaje?

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます