Yatapita - Diamond Platnumz

Yatapita - Diamond Platnumz

Год
2024
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
214800

以下は曲の歌詞です Yatapita 、アーティスト - Diamond Platnumz 翻訳付き

歌詞 " Yatapita "

原文と翻訳

Yatapita

Diamond Platnumz

Yatapita yana mwisho\nIpo siku tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau\nKaza moyo, nivumilie\nAmini tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau (Wote)\nNa ntakununulia (Vyote)\nMawigi na simu (Vyote)\nNtakuzawadia (Vyote)\nPochi zenye thamani (Vyote)\nNawe uende waringishia (Vyote)\nUtembee kwa uskani (Vyote)\nNa vioo ukiwafungia (Vyote)\nAloiumba leo ni mungu na ndio ataiumba kesho\nAmini fungu letu laja haliko mbali\nAlisema mtazaa kwa uchungu, tutatafuta kwa mateso\nBaby mitihani kawaida usijali, mnh!\nKidogo nnachokuletea usinune pokea\nNipate moyo nifariji\nNa juhudi naziongezea usichoke niombea\nMolah atubariki zaidi\nMungu kakupa sura kakupa shepu\nNyuma chura mambo yetu\nMwana wa sanura, mwenzako mimi I love you\nUmeniteka medula niko fyetu\nAkili haina ndala iko peku\nUmenivurura, mwenzako mimi I love you\nOoh nivumilie\nYatapita yana mwisho\nIpo siku tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau\nKaza moyo, nivumilie\nAmini tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau (Wote)\nNa ntakununulia (Vyote)\nMikufu na simu (Vyote)\nNtakuzawadia (Vyote)\nPochi zenye thamani (Vyote)\nNawe uende waringishia (Vyote)\nUtembee kwa uskani (Vyote)\nNa vioo ukiwafungia (Vyote)\nOoh Baby\nTazama Nyota na Mbalamwezi zatutazama\nLiliwaka jua zikafanya subira mnh! nhh!\nNa nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana\nNyumba haijengwi kwa vita hasira\nKwenye macho yako nikiyatazama\nNaiona huruma yako mama\nChangamoto maana kuna muda unakata tamaa\nNanoa kisu hatuli nyama\nNa kodi lundo zatuandama\nRiziki zama kwa zama\nYa kwetu kesho ya kwao ni jana\nKidogo nnachokuletea usinune pokea\nNipate moyo nifariji mnh!\nNa juhudi naziongezea usichoke niombea\nMolah atubariki zaidi\nYatapita kipenzi changu\nYatapita yana mwisho\nIpo siku tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau\nKaza moyo, nivumilie\nAmini tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau (Wote)\nNa ntakununulia (Vyote)\nMawigi na simu (Vyote)\nNtakuzawadia (Vyote)\nPochi zenye thamani (Vyote)\nNa wewe uende waringishia (Vyote)\nUtembee kwa uskani (Vyote)\nNa vioo ukiwafungia (Vyote)\nMungu kakupa sura kakupa shepu\nNyuma chura mambo yetu\nMwana wa sanura\nMwenzako mimi I love you

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます