以下は曲の歌詞です Ntampata Wapi 、アーティスト - Diamond Platnumz 翻訳付き
原文と翻訳
Diamond Platnumz
Sura yake mtaratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribuu
Ila namkumbuka sanaa
Umbo lake mahbibu
Kwenye maradhi alionitibu
Siri yangu ukaribuu
Bado namumbuka sanaa
Alionifanya silali, jua kali
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali darling
Akatekwa na walee
Alionifanya silali, jua kali
Nitafute tukale
Ila wala hakujali
Darling, ah…
Ntampata wapi kama yule
Niliompendaga saana
Ntampata wapi kama yule
Nae anipende sana
Ntampata wapi kama yule
Niliompendaga saana
Ntampata wapi kama yule
Nae anipende sana
Aii, aii nyotaa ahh
Nyota ndo tatizo langu
Aii nyota ahh
Hadi nalia pekee yangu
Aii nyota ahh
Nyota ndio shida yangu
Nyota ahh
Wamenizidi wenzangu
Alidanganywa na wale (walee)
Wenye pesa nyumba gaari (gaari)
Mi kapuku hakunijali (jaali)
Akanimbiaa
Alidanganywa na wale (walee)
Wa mapesa nyumba gaari (gaari)
Mi mnyonge hakunijali (jaali)
Akanikimbiaa
Alionifanya silali, jua kali
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali darling
Akatekwa na walee
Alionifanya silali, jua kali
Nitafute tukale
Ila wala hakujali
Darling, ah…
Ntampata wapi kama yule
Niliompendaga saana
Ntampata wapi kama yule
Nae anipende sana
Ntampata wapi kama yule
Niliompendaga saana
Ntampata wapi kama yule
Nae anipende sana
Bado ananijia ndotoni (baado)
Kila nikiamka simwoni (baado)
Bado anjia nikilalaa
Haki ya mungu sio masialaa
Bado ananijia ndotoni (baado)
Kila nikiamka simwoni (baado)
Bado anjia nikilalaa
Haki ya mungu sio masialaa
Yo touch clever (baado)
Hii ni sauti ya raisi
Iliomshindaga ibilisi
Kwa mwanadamu sio rahisi
Kamwambie
Lazima ujue kutofautisha
Kati ya msalaba na jumlisha
Kuna x ya kuzidisha
Ni cheche (cheche…)
Bado ananijia nkilalaa
Haki ya mungu sio masialaa
様々な言語の楽曲
あらゆる言語への高品質な翻訳
必要なテキストを数秒で見つけます