Naanzaje - Diamond Platnumz

Naanzaje - Diamond Platnumz

Год
2021
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
199300

以下は曲の歌詞です Naanzaje 、アーティスト - Diamond Platnumz 翻訳付き

歌詞 " Naanzaje "

原文と翻訳

Naanzaje

Diamond Platnumz

Aliumba ardhi akaumba mbingu

Akaumba mbaramwezi

Kaumba nafsi, Kaumba wivu

Akayaumba na mapenzi

Na kukuacha sidhan

Siwezi jaribu

Maana penzi kwa mzani

Umenizidi mahabibu

Shika vyema usukani

Twende taratibu

Baada Ya tuta baby Koleza gia

Yani tam tam kama pipi

Nakuita sweet

Ah lote lote

Fundi kwenye kwichikwichi

Shape vipi

Kama lote

Vicheche nisha delete

Sitaki cheat

Wa toke toke

Kwenye moyo nimekupa seat

We ndo dereva, sio wa kukuacha oh

Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje

Mwenzako kukuacha siwezi

Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje

Kukuacha oh, kabisa siwezi

Hadithi kuja hadithi njoo

Utamu kolea

Mzenzenu huba liko kwa roho

Limeninogea

Vishenshuda poleni wooo

Mnalo wambeya

Mtaja kuumwa makwasha koo

Kwa kutuongelea

Tena me kwake ndo daktari

Nampa tiba halali

Wanaitaga sukari

Alamba haam

Na jana nilifunga nkasali

Nikamuomba jalali

Tuepushe madhohari

Ya wanadamu

Ah ah, we tam tam kama pipi

Nakuita sweet

Ah lote lote

Fundi kwenye kwichikwichi

Shape vipi

Kama lote

Vicheche nisha delete

Sitaki cheat

Wa toke toke

Kwenye moyo nimekupa seat

We ndo dereva, sio wa kukuacha oh

Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje

Mwenzako, kukuacha siwezi

Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje

Kukuacha oh, kabisa siwezi

Na kukuacha sidhani

Siwezi jaribu

Maana penzi kwa mzani

Umenizidi mahabibu

Wasafi

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます