Mdogo Mdogo - Diamond Platnumz

Mdogo Mdogo - Diamond Platnumz

Год
2014
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
240790

以下は曲の歌詞です Mdogo Mdogo 、アーティスト - Diamond Platnumz 翻訳付き

歌詞 " Mdogo Mdogo "

原文と翻訳

Mdogo Mdogo

Diamond Platnumz

Oh, nimetembea tembea\nBara na visiwani\nIla nikajonea\nWe ndio my number one\nNatamani nikupe ila sina…\nNimejaliwa upendo hajima…\nManeno yao matamu\nYasikuibe mama\nSi unajua binadamu\nWabaya sana\nWana wivu hao (hao, hao)\nWachonganishi hao (hao, hao)\nWana wivu hao (hao, hao)\nWachonganishi hao (hao, hao)\nUsije niacha kwa uyonge\nNachechemea\nUtamu wa finyango na tonge\nUkanielemea\nUsije niache kwa uyonge\nNachechemea\nUtamu wa finyango na tonge ukala kwangu\nMwendaazimu kaingiaje\n(Asije kitorondo)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Akanikatia na Uhondo)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Kitorondo, kitorondo, eh)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Ikinasa mpaka uondoe)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Oh, kitorondo)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Akanikatia na Uhondo)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Ikawa nyumba ya shetani)\nMwendaazimu kaingiaje\nAh, kidogo nikileta Mumypti usinune\nNikumbatie unikiss nijivune\nKesho nizidishe ufanisi nijitume\nTujenge hadi nyumba Paris Wanune\nVimichezo michezo vya Saloon chunga wakipanga\nWasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga\nTai\nUkaanza safari\nMchana jua kali\nUsiku haulali\nAya…\nOh, ukaanza safari (eh)\nMchana jua kali (eh)\nUsiku haulali\nAyaya\nWana wivu hao (hao, hao)\nWachonganishi hao (hao, hao)\nWana wivu hao (hao, hao)\nWachonganishi hao (hao, hao)\nOh, ukaanza safari (eh)\nMchana jua kali (eh)\nUsiku haulali\nAyaya\nMwendaazimu kaingiaje\n(Asije kitorondo)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Akanikatia na Uhondo)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Kitorondo, kitorondo, eh)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Ikinasa mpaka uondoe)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Oh, kitorondo)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Akanikatia na Uhondo)\nMwendaazimu kaingiaje\n(Ikawa nyumba ya shetani)\nMwendaazimu kaingiaje\nVipi tena?\nHai tena kwa ndio tuu kwabiwa\nAsante\nThomas\nMdogo mdogo (tai)\nMdogo mdogo (ah, usijali mama)\nMdogo mdogo (we wacha waonge)\nMdogo mdogo (usiku na mchana)\nMdogo mdogo (ah, mpaka wayonge)\nMdogo mdogo (na ntakupenda sana)\nMdogo mdogo (Mahaba ninyonge)\nMdogo mdogo (sijali lawama)\nMdogo mdogo (acha wanizonge)\nMdogo mdogo (oh, kachiri kachiri)\nMdogo mdogo (kachiri we ngao yangu)\nMdogo mdogo (mwenzako taabani)\nMdogo mdogo (nilinde roho yangu)\nMdogo mdogo (wasije wa furani)\nMdogo mdogo (wakaiba tamu yangu)\n(Wasafi…)\nAga mwendaazimu kaingiaje\nAh, mwendaazimu kaingiaje\nAh, mwendaazimu kaingiaje\nOh, mwendaazimu kaingiaje\n(Mdogo mdogo, mdogo mdogo)\nAga mwendaazimu kaingiaje\n(Mdogo mdogo, mdogo mdogo)\nAh, mwendaazimu kaingiaje\n(Mdogo mdogo, mdogo mdogo)\nAh, mwendaazimu kaingiaje\n(Mdogo mdogo, mdogo mdogo)\nOh, mwendaazimu kaingiaje\nHa ha\nMwendo abi palaa

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます