Mbagala - Diamond Platnumz

Mbagala - Diamond Platnumz

Год
2013
Язык
`スワヒリ語`
Длительность
242040

以下は曲の歌詞です Mbagala 、アーティスト - Diamond Platnumz 翻訳付き

歌詞 " Mbagala "

原文と翻訳

Mbagala

Diamond Platnumz

Busara na upole, na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama

Vyote haukuvijali, ukaona silingani kabisa kuwa na wewe

Ka kuti na mkole, ukakata kabisa na shina la penzi langu nana

Eti kisa mali, ukaona bora uniache mimi na uolewe

Ile siku shekhe namuona anachoma ubani

Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani

Nliumia sana, sana

Ile siku shekhe namuona anachoma ubani

Unavishwa pete unakua mke wa fulani

Niliumia sana, niliumia sana, sana

Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala

Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi

Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala

Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi

Ungejua jinsi gani

Machozi nlolia kwa uchungu wa penzi langu na

Mwenzio jinsi gani, vile nimeumia moyoni

Hata kupendwa sitamani

Utamu wa mapenzi mwenzako umekula kwangu ma

Mwenzio sitamaani, hata raha tena mi sioni

Ah naskia hivi sasa una mtoto anaitwa Mamu

Vile akinuna mpaka atabasamu

Mmefanana sana, sana

Mi mwenzako tena mapenzi mi sina hamu

Tena na mpango wa kuhama Dar Es Salaam

Nataka niende mbali, niepuke vita na walimwengu

Mi mwenzenu siwezi

Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala

Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi

Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala

Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi

Nasema Mbagala, Mbagala, Mbagala aa aaha

Mbagala, ukaona mapenzi siwezi

Nasema Mbagala (Mbagala), Mbagala (Mbagala), Mbagala (Mbagala) ee eh

Mbagala, ukaona mapenzi siwezi

Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala

Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi

Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala

Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi

200万曲以上の歌詞

様々な言語の楽曲

翻訳

あらゆる言語への高品質な翻訳

クイック検索

必要なテキストを数秒で見つけます